UPIMAJI WA AFYA NA USALAMA MAHALA PA KAZI

Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin Msiangi (wa nne kutoka kushoto) akiwa na Makamo Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi kutoka Chuo Kishirikishi cha Elimu Mkwawa Prof. Deusdedit A. Rwehumbiza (wa tano kutoka kushoto) katika ziara ya kikazi mnamo tarehe 8 Feb, 2023 Iringa.

Prof. Esther W. Dungumaro (Rasi) wa pili kutoka kushoto akipokea maelezo kutoka kwa mtaalamu wa zoezi la upimaji wa afya wa mahali pa kazi uliofanyika tarehe 10 na 11 Februari 2023 Mkwawa

Mr. Edwin p. Lyagoda mkurugenzi wa utawala na usimamizi rasilimali watu akishiriki zoezi la upimaji wa afya mahala pa kazi

Wafanyakazi wa MUCE wakifuatilia mafunzo ya upimaji wa afya na usalama mahala pa kazi .