MAFUNZO YA OFISI MTANDAO

Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin Msiangi (wa nne kutoka kushoto) akiwa na Makamo Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi kutoka Chuo Kishirikishi cha Elimu Mkwawa Prof. Deusdedit A. Rwehumbiza (wa tano kutoka kushoto) katika ziara ya kikazi mnamo tarehe 8 Feb, 2023 Iringa.

Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin Msiangi akitoa mafunzo kuhusu utunzaji wa nyaraka za serikali kwa viongozi wa idara mbalimbali wa MUCE.

Viongozi wa idara mbalimbali MUCE. wakifuatilia mafunzo ya utunzaji wa nyaraka za serikali.